Mbali Na Kelele

Mbali Na Kelele Lyrics

Intro 
Iweke roho yangu kando ya maji ya utulivu baba yooh .

Nipeleke mbali na kelele 
Nipeleke mbali na kelele Baba 
Nipeleke mbali na kelele 
Nipeleke mbali na kelele Baba  .

Vita vya muovu mimi siwezi pekee 
Nahitaji musaada kwako Baba 
Vita vya muovu mimi siwezi pekee 
Nahitaji musaada kwako Baba  .

Kelele za magonjwa 
Kelele za maneno 
Eh Baba sikia ombi langu niepushe 
Kelele za ujanja kelele za fitina 
Eh Baba sikia ombi langu niepushe  .

Uiweke roho yangu kando ya maji 
Ya utulivu nikuchezee 
Uiweke roho yangu kando ya maji 
Ya utulivu ili nikuimbie 
Uiweke roho yangu kando ya maji 
Ya utulivu nikuabudu 
Uiweke roho yangu kando ya maji 
Ya utulivu ili nikuimbie .

Uiweke roho yangu kando ya maji 
Ya utulivu nikuabudu
Uiweke roho yangu kando ya maji 
Ya utulivu ili nikuabudu 
Uiweke roho yangu kando ya maji 
Ya utulivu nikusifu  .

Kelele za magonjwa 
Kelele za maneno 
Eh Baba sikia ombi langu niepushe 
Kelele za ujanja kelele za fitina 
Eh Baba sikia ombi langu niepushe 
...


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Mbali Na Kelele:

0 Comments/Reviews