Sifa Lyrics

Natamani Kufanana Nawe by Anthony Musembi cover art

Anthony Musembi - Natamani Kufanana Nawe Lyrics

Artist:
Anthony Musembi

Lyrics

Natamani kufanana nawe 
Natamani kufanana nawe 
Siku zote za maisha yangu 
Siku zote za maisha yangu 


Natamani kushiriki nawe 
Natamani kushiriki nawe 
Siku zote za maisha yangu 
Siku zote za maisha yangu 


Natamani kutembea nawe 
Natamani kutembea nawe 
Siku zote za maisha yangu 
Siku zote za maisha yangu 


Natamani kufanana nawe 
Natamani kufanana nawe 
Siku zote za maisha yangu 
Siku zote za maisha yangu 


Video