Sifa Lyrics

MATAIFA YOTE YATAKUSANYIKA by Anthony Musembi cover art

Anthony Musembi - MATAIFA YOTE YATAKUSANYIKA Lyrics

Artist:
Anthony Musembi

Lyrics

Mataifa yote yatakusanyika
Mbele zake Bwana mwokozi
Waliokoka watakusanyika
Mbele zake Bwana mwokozi


Watakuabudu Bwana, watakuabudu Bwana
Haleluya Bwana
Watakuabudu Bwana, watakuabudu Bwana
Haleluya Bwana


Watakatifu wote watakusanyika
Mbele zake Bwana mwokozi
Waliokoka watakusanyika
Mbele zake Bwana mwokozi


Watasujudu Bwana, watasajudu Bwana
Haleluya Bwana
Watakupa sifa Bwana, watapa sifa Bwana
Haleluya Bwana
Watakuabudu Bwana, watakuabudu Bwana
Haleluya Bwana
Watakuimbia Bwana, watakuimbia Bwana
Haleluya Bwana
Watafurahi Bwana, Watafurahia Bwana
Haleluya Bwana


Wenye dhambi wote watakusanyika
Mbele zake Bwana mwokozi
Na walevi wote watakusanyika
Mbele zake Bwana mwokozi
Na washerati wote watakusanyika
Mbele zake Bwana mwokozi
Na waongo wote watakusanyika
Mbele zake Bwana mwokozi


Watalia woi,woi
Wooi, woii, woi woi
Wakiteseka woi, wakichomeka woi
Wooi, woii, woi woi
Watajuta woi, watateseka woi
woi, woi woi woi


Video