Sifa Lyrics

Niumbie Moyo Safi niumbie moyo mpya by Anthony Musembi cover art

Anthony Musembi - Niumbie Moyo Safi niumbie moyo mpya Lyrics

Artist:
Anthony Musembi

Lyrics

Niumbie moyo safi,
Niumbie moyo mpya,
Moyo wa kunyenyekea,
Na kubondeka mbele zako


Nisikilize Yahweh


Daudi akasema:


Roho mtakatifu
(hakuna kama wewe)
Roho wake baba
(hakuna kama wewe)
Roho wa uweza
(ni nani kama wewe)


Roho wake Baba


hakuna kama wewe,
hakuna Mungu, kama wewe
hakuna kama wewe,
hakuna Mungu, kama wewe


English:
Create in me a clean heart,
create in me a new heart,
a heart that is broken before you


Video