Sifa Lyrics

Hakuna Wa Kufanana by Anthony Musembi cover art

Anthony Musembi - Hakuna Wa Kufanana Lyrics

Artist:
Anthony Musembi

Lyrics

Hakuna wa kufanana na Yahweh 


(Hakuna wa kufanana naye)


Hakuna wa kufanana na Mungu 


(Hakuna wa kufanana naye)  


Yeye anaweza 


Yeye anaweza yeye anaweza 


Hakuna wa kufanana naye 


Yeye aokoa 


Yeye aokoa Yeye aokoa 


Hakuna wa kufanana naye 


Yeye abariki 


Yeye abariki, yeye abariki 


Hakuna wa kufanana naye 


Yeye atawala 


Yeye atawala, Yeye atawala 


Hakuna wa kufanana naye 


Yeye Jemedari 


Yeye Jemedari, Yeye Jemedari 


Hakuna wa kufanana naye 


Hakuna wa kufanana na Baba 


(Hakuna wa kufanana naye) 


Hakuna wa kufanana na Yahweh 


(Hakuna wa kufanana naye)


Yeye ainua 


Yeye ainua, Yeye ainua 


Hakuna wa kufanana naye


Yeye ni mshindi


Yeye ni mshindi, Yeye ni mshindi 


Hakuna wa kufanana naye


Yeye ni mwalimu wangu 


Yeye ni mwalimu, Yeye ni mwalimu 


Hakuna wa kufanana naye 


Naijulikane kwamba yupo wa uwezo 


Naijulikane kwamba yupo wa uwezo 


Naijulikane kwamba yupo wa uwezo 


Video