PaPi Clever & Dorcas - Shamba La Mungu Limeiva Lyrics
Lyrics
Verse 1
Shamba la Mungu limeiva, litayari sasa kuvunwa.
Wavunaji mfike mbio kuyavuna mavuno yake!
Chorus:
Bwana Yesu, twakuomba, uwatume watenda kazi
wakusanye miganda yote kwako Yesu, Mwokozi mwema!
(repeat x2)
Verse 2
Uwatume mapema sana, na wengine kati’ mchana,
hata saa ya magharibi uwaite wavuni wako!
Verse 3
E’mkristo anakuita, wende mbio, usichelewe!
Macho yako uyainue kwani Yesu aja upesi!
Video
Shamba La Mungu Limeiva