Sifa Lyrics

Mwokozi Wangu Ni mMwamba Bora by PaPi Clever & Dorcas cover art

PaPi Clever & Dorcas - Mwokozi Wangu Ni mMwamba Bora Lyrics

Artist:
PaPi Clever & Dorcas

Lyrics

Mwokozi wangu ni mwamba bora, ahadi kama milima
Zaniletea amani tele, na mibaraka daima
Katika mwamba ni raha kuu, baraka tele kutoka juu
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele

Makimbilio ni mwamba huo katika teso lo lote
Nisikimbie adui ‘kuu, nishinde katika vyote
Dunia yote ikitingika, ahadi zake hazipunguki
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele
Dunia yote ikitingika, ahadi zake hazipunguki
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele

Nakaa mbali ya udhalimu, hatia, dhambi, hukumu
Na kwa imani nikisimama, adui atakimbia
Nayo mawazo ya giza tupu hayatapata nafasi huko
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele
Nayo mawazo ya giza tupu hayatapata nafasi huko
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele

Nafurahia baraka zote za ulimwengu wa roho
Karama hizo nalizipewa katika kufa kwa Yesu
Hakuna woga na shaka huko, hayatakuwa manung’uniko

Video