Sifa Lyrics

Naijulikane - Naijulikane Wewe Ni Mungu by Ruth Wamuyu cover art

Ruth Wamuyu - Naijulikane - Naijulikane Wewe Ni Mungu Lyrics

Artist:
Ruth Wamuyu

Lyrics

Naijulikane wewe ni mungu
Naijulikane wewe waweza
Naijulikane watenda mambo makuu
Naijulikane duniani kote


Niko mbele zako miguuni mwako
Nimenyenyekea nikutafute
Mahitaji yangu ninakuletea
Mizigo yote nakuwachia (rudia)


Naijulikane wewe ni mungu
Naijulikane wewe waweza
Naijulikane watenda mambo makuu
Naijulikane duniani kote


Ninayo imani unayaweza
Muweza yote unanitosha
Msaidizi wakati kama huu
Nakuamini nanyenyekea


Naijulikane wewe ni mungu
Naijulikane wewe waweza
Naijulikane watenda mambo makuu
Naijulikane duniani kote


Naijulikane wewe ni mungu
Naijulikane wewe waweza
Naijulikane watenda mambo makuu
Naijulikane duniani kote