Inuka - Msifu Bwana

Inuka - Msifu Bwana Lyrics

Inuka msifu Bwana 
Inuka msifu Bwana 
Kwa maana fadhili zake 
zadumu hata milele   .

Alituumba tumtukuze 
Tumpambe na sifa ni mwema 
Hakuna Mungu kama yeye 
Inuka msifu Bwana  .

Inuka msifu Bwana 
Inuka msifu Bwana 
Kwa maana fadhili zake 
zadumu hata milele   .

Tunapomsifu anainuka 
Anatenda mambo ya ajabu 
Sifa zetu kama manukato 
Inuka umsifu Bwana  .

Akufunikaye na mbawa zake 
Akuondolea misiba yako 
Afanyaye nderemo za shangwe 
Zisikike nyumbani mwako, inuka  .

Inuka msifu Bwana 
Inuka msifu Bwana 
Kwa maana fadhili zake 
zadumu hata milele   .

Simama msifu Bwana 
Simama msifu Bwana 
Kwa maana fadhili zake 
zadumu hata milele   .

Tembea msifu Bwana 
Tembea msifu Bwana 
Kwa maana fadhili zake 
zadumu hata milele   .

Simama simama 
Simama msifu Bwana 
Tembea tembea 
Tembea msifu Bwana  .

Inuka msifu Bwana 
Inuka msifu Bwana 
Kwa maana fadhili zake 
zadumu hata milele 


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Inuka - Msifu Bwana :

0 Comments/Reviews