Ben Pol - Walimwengu Lyrics

Album: IamBenPol
Released: 11 Nov 2020
iTunes Amazon Music

Lyrics

Ah mwali wa dodoma chotara Nairobi Kenya Nitakulinda kwa panga bastola Wasije ninyang'anya

Vijipesa navyokupa kukuhonga honga  Uvitunze vizuri Nataka tujichange tununue kagari Tuwe na usafiri

Na tufanye juhudi Kiroba cha unga tuwe nacho ndani Vichenji vikirudi kutoka dukani Tuweke kibabani

Mchawi anaua alafu analia Walimwengu jamani Muda nakupotezea, nakuchezea Utaskia wakisema 

Hao walimwengu, hao walimwengu Hao walimwengu, hao walimwengu Hao walimwengu, hao walimwengu

Asa twende kongwa tukatembee Tinge moka koti la kitenge Gauni la maua upendeze Jioni turufi kwa Itembe

Furaha yetu yawatesa, maumivu kwao Wanatapa tapa wanakerekwa, wana wivu hao Wanakaa vikao visivyoisha, imekula kwao Wanafanya kazi ya kanisa, kudadeki zao

Asa bam bam bam Kama unainama bam bam bam Fanya kuchutama bam bam bam Zishaendana dam dam dam dam 

Asa bam bam bam Kama unainama bam bam bam Fanya kuchutama bam bam bam Zishaendana dam dam dam dam 

Mchawi anaua alafu analia Walimwengu jamani Muda nakupotezea, nakuchezea Utaskia wakisema 

Hao walimwengu, hao walimwengu Hao walimwengu, hao walimwengu Hao walimwengu, hao walimwengu

(The Mix Killer)

Video

Ben Pol - WALIMWENGU (Official Lyric Visualizer)

Thumbnail for Walimwengu video
Loading...
In Queue
View Lyrics