Sifa Lyrics

Uniongozee baraka by Ephraim Sekeleti cover art

Ephraim Sekeleti - Uniongozee baraka Lyrics

Artist:
Ephraim Sekeleti

Lyrics

Uniongoze na huruma zako
Usipo nibariki siwezi enda
Minajuwa bila nguvu zako siwezi kuenda
Minajuwa bila nguvu zako siwezi kuenda
Kwa mkono wako kweli umenibariki ih ih
Kwa mkkono wako kweli umenibariki 
Baraka zako ziwe na mimi
Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
Maombi uyasikie eeh bwana unipandishe


Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
Maombi uyasikie eeh bwana unipandishe


Ee bwana uniinue kwa imani nisimame
Nipande milima yote ee bwana unipandshe


Si natamani nikae mahali pa shaka kamwe
Hapo wengi wanakaa kuendelea naomba


Nisikae duniani ni mahali pa shetani
Natazamia mbinguni nitafika kwa imani


Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
Nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe


Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
Nitaomba nifikishwe ee bwana unipandisheMapenzi yako yawe na mimi
Namacho yako yawe na mimi
Kwa Mukono wako kweli umenibariki kwa mukono wako kweli umenibariki
Ulinichagua kabla sijazaliwa
Ukanichagua nabii wa mataifa yo
Utaninitangulia siatogopa Chochote
Baraka zako ziwe na mimi
Mapenzi yako yawe na mimi
Namacho yako yawe na mimi
Kwa Mukono wako kweli umenibariki kwa mukono wako kweli umenibariki
Tembea nami ee bwana
Tembea nami baba yoo


Video