Alphanny - Badala Ujiombee Lyrics
Lyrics
Pale ulitaka nifelisha,Mungu kanipitisha
Ni sawa uliniangusha nimeinuka tena
Na ulitaka kunidunisha,Mungu kanisifisha
Habari nakujulisha ujuee ah
Yaani badala ujiombee,unaniombea nifeli
Badala ujinenee,unaninenea mabaya
Yaani badala ujiombee,unaniombea nifeli
Badala ujinenee,unaninenea mabaya
Uzuri ni kwamba,Mungu haitaji ripoti yako
Akitaka nibariki, Mungu haitaji ruhusa yako
Uzuri ni kwamba, Mungu haitaji ripoti yako
Akitaka niinua, Mungu haitaji ruhusa yako.
Oooh,mama mama sala zako nategemea
Na baraka za baba, binadamu wamenilemea
Hata kwao sijakosa wanaotamani nije potea
Usichoke kuniombea mama
Nakuomba Mungu hata wakinisema, mi nizidi wapenda
Wakinipangia njama ,niwaombee kama ndugu tu
Maana sitaki kuikosa mbingu sababu ya maneno yao
Milindie moyo tu, maumivu yapo
Ila niwape upendo ili wakuone wewe
Katika upendo wako tu.
Yaani badala ujiombee,unaniombea nifeli
Badala ujinenee,unaninenea mabaya
Yaani badala ujiombee,unaniombea nifeli
Badala ujinenee,unaninenea mabaya
Uzuri ni kwamba,Mungu haitaji ripoti yako
Akitaka nibariki, Mungu haitaji ruhusa yako
Uzuri ni kwamba, Mungu haitaji ripoti yako
Akitaka niinua, Mungu haitaji ruhusa yako.
Video
BADALA UJIOMBEE - ALPHANNY (Official 4k Video)