Pangusa machozi yako
Wipe away your tears
Futa mavumbi shangilia
Wipe off the dust and rejoice
Amekuja mtetezi wako
for your advocate has come
Msaada kwa walio na shida
Helper for those in need
Uweza wa kifalme u mabegani mwake
The government is on his shoulders
Ameibeba Amani yako wewe
He carries your peace
Uzima wa milele,
Eternal life
Furaha na tumaini
Joy and hope
Mimi nawe tuwe nayo milele
So you and I shall have it eternally
Tuwe nayo tele, Amani na uzima
Let's have abundant life and peace
Tumaini lote, Yesu ndiye yote
Full hope, Jesus is above all
Ukimpata Yesu moyoni Moyoni,moyoni mwako
If you receive Jesus in your heart
Yesu atakufanya kuwa wake yeye
Jesus will make you His child
Utasahau shida zote
you will forget all the troubles
Burudani moyoni
Joy in my heart
Sina wasiwasi Yesu yupo
i'm not worried Jesus is there
Mpokee Yesu nawe leo moyoni
Receive Jesus in your heart
Akufanye upya moyo wako,
so he renews your heart
Uwe na Amani
and you may have peace