Sifa Lyrics

Washangaze by Goodluck Gozbert + Neema Mudosa cover art

Goodluck Gozbert + Neema Mudosa - Washangaze Lyrics

Artist:
Goodluck Gozbert + Neema Mudosa

Lyrics

Ooh Washangaze Wajue ooh, wewe Ni Mshindi
Ooh Washangaze Wajue ooh Wewe Ni Mshindi


Mimi Umenichora, Kwenye Vitanga Vya Mikono Yako,
Wengi Wanaomba Mabaya, Ili Niangamie, Ili Nipotee,
Ila Hutoniacha Baba, Ili Niangamie Wewe,
Tuliza Kiu Yangu We, rejesha Amani,
Rudisha Heshima Wajue, rejesha Afya Yangu Yesu
Ooh Uzima Wangu Baba, nikutukuze Wewe Wajue.


Ooh Washangaze Wajue ooh, wewe Ni Mshindi
Ooh Washangaze Wajue ooh Wewe Ni Mshindi


Wakitabiri Maneno, sijali Mimi Nakuangalia
Tumaini Langu kiongozi Wangu,
Mengi Ulinivusha wakaduwaa Eeeh Eeeh
Yaani Kama Lile Lilipita, sina Mashaka Eeeeh Eeeh
Hata, Wala Silalamiki, sikatishwi Tamaa Na Dhiki
Mungu Wangu We, Hujawahi Kushindwa Ng'o
Ninaendelea Kunena Nikijua Wewe,
Ulishaishinda Mauti, Matatizo Yangu Madogo, Vidogo Vidogo, Vitoto Vitoto


Naomba Ukashughulike Na Mahitaji Yetu,
Baba Ukashughulike Na Ndoa Zetu
Yesu Ukashughulike Na Watoto wetu,
Ukashughulike Na Maadui Zetu
Teena Ukashughulike Na Mahitaji Yetu,
Baba Ukashughulike Na Ndoa Zetu
Yesu Ukashughulike Na Watoto wetu,
Ukashughulike Na Maadui zetu


Ooh Washangaze Wajue ooh Wewe Ni Mshindi
Nakuita washangaze
Ooh Washangaze Wajue ooh Wewe Ni Mshindi


Haya Tembea Tembea, Tembea, Tembea Tembea,
Baba Tembea Tembea,
Tembea, Tembea Tembeaa


Neema ft. Goodluck


Video