MSALABANI Lyrics - Neema Gospel Choir
Neema Gospel Choir swahili
Chorus:
Msalabani pa Mwokozi,
wapatikaana ukombozi.
Ni kazi ya thamani yake Yesu
Msalabani pa Mwokozi
MSALABANI Video
MSALABANI Lyrics
Msalabani pa Mwokozi,
wapatikaana ukombozi.
Ni kazi ya thamani yake Yesu
Msalabani pa Mwokozi
Msalabani pa Mwokozi,
wapatikaana ukombozi.
Ni kazi ya thamani yake Yesu
Msalabani pa Mwokozi
Tumesamehewa dhambi hatuna deni,
Amelipa yote Bwana hatuna deni ,
Ni kazi ya thamani yake Yesu
Msalabani pa mwokozi
Unyenyekevu uvumilivu na upendo
Huruma nyingi na fadhili kwetu
Ni sifa za thamani zake Yesu
Msalabani pa mwokozi
Tumesamehewa dhambi hatuna deni,
Amelipwa yote Bwana hatuna deni,
Ni kazi ya thamani yake Yesu,
Msalabani pa mwokozi.