Obby Alpha + Guardian Angel - Pigana Na Mungu Lyrics

Pigana Na Mungu Lyrics



Pre-Chorus:
Siwezi pigana nawe, nanyoosha mikono juu basi pigana na Mungu
Siwezi shindana nawe, nanyoosha mikono juu basi shindana na Mungu
Oh, shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Basi pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Oh Shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Basi pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Pigana na Mungu (Pigana na Mungu)

Verse 1: Obby Alpha:
Hata kama vita nitapigana
Ila ushindi atanishindia
Yote si mapenzi yangu, bali ni mapenzi yake Mungu
Ukitamka laana, la baraka kanitamkia
Yote si mapenzi yangu, bali kwa mapenzi yake Mungu

Hook 1:
Maana uhai wangu mie
Nimemkabidhi yeye
Ukitaka kunigusa mie
Unataka kumgusa yeye
Oh, ukinigusa kwa mema
Atakubariki, atakubariki
Ila ukitaka kwa mabaya
Usishiriki, maana sio rahisi

Hook 2:
Maana vita yangu, eh
Si ya mwili bali ni ya rohoni
Tena sipigani mimi, eh
Anaye nipigania mwokozi
Hivyo

Chorus:
Siwezi pigana nawe, nanyoosha mikono juu basi pigana na Mungu
Siwezi shindana nawe, nanyoosha mikono juu basi shindana na Mungu
Oh, shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Basi pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Oh
Shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Basi pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Ooh, yeah

Verse 2: Guardian Angel:
Ukipigana na mimi, nikuachie Mungu
Basi jua yako, 'imeenda
Ukiwahi pigana na mimi, nikuachie Mungu
Basi jua yako, 'imeenda
Anaye niita ni Mungu mwenyewe
Mbona nipigane vita?, ah
Aliye niita ni Mungu mwenyewe
Mbona nipigane vita?
Maana vita vyangu
Si vya mwili bali ni vya roho
And I don't fight for myself
Anaye nipigania mwokozi (Hivyo)
Ndio hivyo basi
Anaye pigana, sipigani nae
Namuachia Mungu apambane nae
Anaye shindana, sishindani nae
Namuachia Mungu apambane nae
Anaye ni winda, si windani nae
Namuachia Mungu apambane nae
Hey
Namuachia Mungu apambane nae

Hook 3:
Maana vita yangu, eh
Si ya mwili bali ni ya rohoni
Tena sipigani mimi, eh
Anaye nipigania mwokozi
Hivyo

Post-Chorus:
Siwezi pigana nawe, nanyoosha mikono juu basi pigana na Mungu
Siwezi shindana nawe, nanyoosha mikono juu basi shindana na Mungu
Oh, shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Basi pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Oh
Shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Shindana na Mungu (Shindana na Mungu)
Basi pigana na Mungu (Pigana na Mungu)
Pigana na Mungu (Pigana na Mungu)



Oh-oh, pigana na Mungu, ooh


Obby Alpha Ft Guardian Angel - PIGANA NA MUNGU (Official Video)

Obby Alpha Songs

Related Songs