Matatizo, yasikie kwa jirani
Yakikufika utanielewa
Kulala njaa, we sikia kwa jirani
Ukilala njaa, utanielewa
Kukataliwa, we sikia kwa jirani
Ukakataliwa, utanielewa
Usaliti usaliti, we sikia kwa jirani
Ukisalitiwa, utanielewa
Hapo ulipo
Ndugu yangu si kwa nguvu zako
Hivyo chunga kinywa chako
Usiwabeze walio chini yako
Hapo apo ulipo
Ndugu yangu si kwa nguvu zako
Hivyo chunga kinywa chako
Usiwabeze walio chini yako
Hivyo tusisemane (vibaya)
Tusiombeane (mabaya)
Tusisemane (vibaya vibaya vibaya)
Ooooh tusisemane (vibaya)
Tusiombeane (mabaya)
Tusisemane (vibaya vibaya vibaya)
Hauujuii haujuii
Kesho utakuwa wapi
Nami sijui sijui
Kesho nitakuwa wapi
Waweza niona mkosi
Kesho nikawa baraka
hivyo,Weka akiba ya maneno yako
Utanishukuru baadaye
Kwa leo ninaweza nikose
Ipo kesho nitapata
Hivyo, Weka akiba ya maneno yako
Utanishukuru baadaye
Apo ulipo
Ndugu yangu si kwa nguvu zako
Hivyo chunga kinywa chako
Usiwabeze walio chini yako
Apo ulipo
Ndugu yangu si kwa nguvu zako
Hivyo chunga kinywa chako
Usiwabeze walio chini yako
Hivyo tusisemane (vibaya)
Tusiombeane (mabaya)
Tusisemane (vibaya vibaya vibaya)
Ooooh tusisemane (vibaya)
Tusiombeane (mabaya)
Tusisemane (vibaya vibaya vibaya)