Moyo Wangu - Hauwezi Kukusifu Kweli Lyrics - Dr Ipyana
Dr Ipyana Goodluck Gozbert swahili
Moyo Wangu - Hauwezi Kukusifu Kweli Lyrics
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli
Ila sifa zangu hizo Bwana zikubali
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli
Ila sifa zangu hizo Bwana zikubali .
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli
Ila sifa zangu hizi Bwana zikubali
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli
Ila sifa zangu hizi Bwana zikubali .
Hata ndimi eeh Mungu hazitoshi kanwe
Kukusifu kweli kwa mapenzi yako
Hata ndimi eeh Mungu hazitoshi kanwe
Kukusifu kweli kwa mapendo yako .
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli
Ila sifa zangu hizi Bwana zikubali
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli
Ila sifa zangu hizi Bwana zikubali .
Ametenda ametenda, ametenda tena ametenda
Ametenda ametenda, ametenda tena ametenda
Ametenda ametenda, ametenda tena ametenda .
Amefanya amefanya, amefanya tena amefanya
Amefanya amefanya, amefanya tena amefanya
Amefanya amefanya, amefanya tena amefanya .
Haleluya haleluya, haleluya amen haleluya
Haleluya haleluya, haleluya amen haleluya
Haleluya haleluya, haleluya amen haleluya