Wastahili utukufu, Wastahili utukufu
Yesu pekee wastahili utukufu
Wastahili utukufu, Wastahili utukufu
Yesu pekee wastahili utukufu
Umeketi kwenye enzi yote
Umeketi kwenye enzi yote
Yesu pekee wastahili utukufu
Umeketi kwenye enzi yote
Umeketi kwenye enzi yote
Yesu pekee wastahili utukufu