Mercy Linah + Dr Ipyana - WEMA WAKO Lyrics
- Song Title: Wema Wako (Feat)Dr.ipyana
- Album: Wema Wako (feat. Dr. Ipyana) - Single
- Artist: Mercy Linah
- Released On: 01 Dec 2023
- Download/Stream: iTunes Music Amazon Music
Nimeona ukinipigania ushindi
Na sasa umenipa ushindi
Nimeona ukinipigania ushindi
Na sasa umenipa ushindi
Matendo yako maishani mwangu
Yadhihirisha wewe ni muweza yote
Matendo yako maishani mwangu
Yadhihirisha wewe ni muweza yote
Wema wako umenizingira
Uaminifu wako haukomi
Wema wako umenizingira
Uaminifu wako haukomi
Nashuhudia
Nashuhudia
Nashuhudia
Ukuu wako bila wewe singeweza
Wema wako umenizingira
Uaminifu wako haukomi
Wema wako umenizingira
Uaminifu wako haukomi
Nashuhudia
Nashuhudia
Nashuhudia
Ukuu wako bila wewe singeweza
Wema wako umenizingira
Uaminifu wako haukomi
Wema wako umenizingira
Uaminifu wako haukomi
Nashuhudia
Nashuhudia
Nashuhudia
Ukuu wako bila wewe singeweza
Wema wako umenizingira
Uaminifu wako haukomi
Wema wako umenizingira
Uaminifu wako haukomi
Nashuhudia
Nashuhudia
Nashuhudia
Ukuu wako bila wewe singeweza
Wema wako umenizingira
Uaminifu wako haukomi
Wema wako umenizingira
Uaminifu wako haukomi
Nashuhudia
Nashuhudia
Nashuhudia
Ukuu wako bila wewe singeweza