Mercy Linah - Wa Ajabu wewe wa ajabu Lyrics

Wa Ajabu wewe wa ajabu Lyrics

Ewe mungu wa miungu, umetukuka,
Muumbaji wa vyote duniani na mbingu,
Tunaa kuinamiya x2

Chorus
Wa ajabu wewe wa ajabu
Mfalme wa wafalme,
Mwenye enzi tunakuabudu

Utukufu na heshima,
kwako eeh we mungu,
Pia nguvu na shukrani,
kwako ewe mungu

Wa ajabu wewe wa ajabu
Mfalme wa wafalme,
Mwenye enzi tunakuabudu

Mtakatifu mwaminifu,
Tunakuinamia, El-shaddai….
Adonai…, Alfa na Omega x2

Chorus
Wa ajabu wewe wa ajabu
Mfalme wa wafalme, Mwenye enzi tunakuabudu

Translation
God of wonders, King of kings, the enthroned we worship youWa Ajabu wewe wa ajabu Video

Wa Ajabu wewe wa ajabu Lyrics -  Mercy Linah

Mercy Linah Songs

Related Songs