Mercy Linah - Hutendeka Kwa Wema Lyrics
Contents:
Najipa moyo katika Bwana najua
Yote hutendeka kwa wema
katika yale yote mimi napitia
Yote hutendeka kwa wema
Hata nipite katika katikati ya moto
Sitaogopa Yote hutendeka kwa wema
Mimi ninaye Baba aliye pamoja nami kila wakati
Yote hutendeka kwa wema
Katika mambo yote
Mungu hufanya kazi na kuifanikisha
Wowowoo pamoja na wote wampendao
aliowaita kadiri Ya kusudi lake
Wewe uliyepoteza kazi kumbuka
(Yote hutendeka kwa wema)
Tena umepatwa na msiba
Mungu ndiye nguvu yako
(Yote hutendeka kwa wema)
Usinun'gunike usilalamike
(Yote hutendeka kwa wema)
Katika mambo yote
Mungu hufanya kazi na kuifanikisha
Wowowoo pamoja na wote wampendao
aliowaita kadiri Ya kusudi lake
...