Amani G Pitson

Ni Poa Lyrics

Yoyoyo Yoyoyo iyo yoyoyo

Ni Poa Kuwa na Rafiki kama Yesu 
Ukianguka kwa shimo anakutoa 
Ni poa kuwa na rafiki kama Yesu 
Ukiwa mwenye dhambi anakuokoa 

Na je rafiki yako akisikia (akisikia) 
Kwamba ndugu yako ameaga dunia 
Siku ya nne anatokea 
Na ndugu yako rafiki anamfufua 

Na je Rafiki yako ukimwambia (ukimwambia) 
Hatujalipa kodi wanatukujia (aaah) 
Anakutuma kafungue mdomo wa samaki 
Hapo ndani kuna mapeni lipa kodi 

Ni Poa Kuwa na Rafiki kama Yesu 
Ukianguka kwa shimo anakutoa 
Ni poa kuwa na rafiki kama Yesu 
Ukiwa mwenye dhambi anakuokoa 

Yoyoyo Yoyoyo iyoiyo yoyoyo 
Yoyoyo Yoyoyo iyoiyo yoyoyo
Imagine rafiki ambaye haogopi 
Imagine rafiki ambaye hatoroki 
Imagine rafiki ambaye hakuwachi 
Hata maji rafiki yanamtii 

Mawimbi yakija rafiki anakemea kemea 
uu ya maji rafiki anatembea tembea 
Hakuna jambo rafiki linamlemea lemea 
Yesu ni rafiki anakungojea 

[CHORUS] 
Ni Poa Kuwa na Rafiki kama Yesu 
Ukianguka kwa shimo anakutoa 
Ni poa kuwa na rafiki kama Yesu 
Ukiwa mwenye dhambi anakuokoa


Ni Poa Video

Source: Ni Poa Lyrics - Amani G