Sifa Lyrics

NURU YA ULIMWENGU by Neema Gospel Choir cover art

Neema Gospel Choir - NURU YA ULIMWENGU Lyrics

Artist:
Neema Gospel Choir

Lyrics

Nuru ya ulimwengu, 


chumvi ya dunia.


mimi nawe tumeokolewa tuangaze dunia


Nuru yake Yesu.


Kwa neema ya Mungu, tumestahilishwa


Mimi na wewe tumepewa dhamana


Mawakili wa siri, zake baba Mungu


Tena tu mashahidi wa wema na uzuri,


wake Mungu tumepewa baraka,


ziwavute wengine waje kwake Yesu.


Nuru ya ulimwengu, chumvi ya dunia.


mimi nawe tumeokolewa tuangaze dunia


Nuru yake Yesu


Uwepo wetu ni wathamani,


katika uso wa dunia.


Nafasi yetu ni ya muhimu,


katika uso wa dunia.


Mwili wa kristo kanisa la Mungu


(tuungane)


kuangaza dunia watu wayaone


( matendo yetu)


tuwe wa moja twende kwa pamoja


( tuungane)


kungaza dunia watu wayaonee


(matendo yetu)


Video