Umenisaidia Lyrics

Jamila Dotto swahili

Chorus:
Hata saasa umesaidia,hata lile ulisimamia ni wewe mungu,
Hata juzi,nakumbuka Bwana ulishuka Yesu ukasaidia.
Yalopita ninakujia,chozi hili ninalia hapa ni lako Mungu, naamini huniachi Bwana hata hili pia utasimamia

Umenisaidia Video

Buy/Download Audio

Umenisaidia Lyrics

Je hapo ulipo una raha?,Na Moyoni uko sawaa kama sio hivyo yupo Mungu akisema liwe linakuwaa
Ninathibitisha uwepo wa Mungu huyu Mungu
Nitaimba sifa zake,Halleluya Bwana takuinua

Hata saasa umesaidia,hata lile ulisimamia ni wewe mungu,
Hata juzi,nakumbuka Bwana ulishuka Yesu ukasaidia.
Yalopita ninakujia,chozi hili ninalia hapa ni lako Mungu, naamini huniachi Bwana hata hili pia utasimamia

Sitamani uende ukae,ukae kimya
Gizani nimekosa nikakuudhi Baba yangu Nisa-mehee
Siwajua ni Rafiki yako,ndio maana Mungu umetenda mengi,Nakupenda Baba,Nakupenda Mungu nayaweza yote kuisimamia