Joel Lwaga + Zoravo - wa kutegemewa Lyrics
- Song Title: Wa Kutegemewa (feat. Zoravo)
- Album: Good To Go
- Artist: Joel Lwaga
- Released On: 24 Nov 2023
- Download/Stream: iTunes Music Amazon Music
Mungu wa baraka mungu wa miujiza mungu wa kutegemewa
Unafanya mambo yasiyokawaida mungu wa kutegemewa
Mungu wa baraka mungu wa miujiza mungu wa kutegemewa
Unafanya mambo yasiyokawaida mungu wa kutegemewa
Mungu wa kutegemewa
Mungu wa kutegemewa
Mungu wa kutegemewa
Mungu wa kutegemewa
Matumwa waliofungwa unayafungua Mungu wa kutegemewa
Magonjwa yaliyosugu umeyaondoa Mungu wa kutegemewa
Waliokatizwa tamaa umewapa nguvu Mungu wa kutegemewa
Waliotezwa na maovu umewafungua Mungu wa kutegemewa
Lisilowezekana kwako halijatokea na halitakuwepo
Tumekutegemea na hatuna mashaka tumaini ni kwako
Mungu wa kutegemewa
Mungu wa kutegemewa
Mungu wa kutegemewa
Mungu wa kutegemewa
Nimekukimbilia wewe nisiabike milele
Nimekufuata wewe nisiaibike milele
Coz I have been calling to you crying to you
Mungu wa kutegemewa
Kwako kuna majibu msaada wa karibu Mungu wa kutegemewa
Nimejaribu kwa wanadamu ila nilikosa hamu
Nikawapa salamu ila wakanidharau
Lisilowekana kwako halijatokea na halitakuwepo
Tumekutegemea na hatuna mashaka tumaini ni kwako
Mungu wa kutegemewa
Mungu wa kutegemewa
Mungu wa kutegemewa
Mungu wa kutegemewa