Sifa Lyrics

Karibu Yesu Karibu Moyo Wangu Uponye by Solomon Shemanzi cover art

Solomon Shemanzi - Karibu Yesu Karibu Moyo Wangu Uponye Lyrics

Artist:
Solomon Shemanzi

Lyrics

Nataka kufanana nawe
Nataka kufanana nawe
Nataka kufanana nawe
Moyo wangu upone


karibu Yesu Karibu, karibu Yesu karibu
Karibu Yesu karibu, moyo wangu uponye


Nataka kujazwa na roho
Nataka kujazwa na roho
Nataka kujazwa na roho
Moyo wangu upone


karibu Yesu Karibu, karibu Yesu karibu
Karibu Yesu karibu, moyo wangu uponye


Nataka kukujua vyema,
Nataka kukujua vyema
Nitembee kwa uwepo wa roho
Moyo wangu uponye


karibu Yesu Karibu, karibu Yesu karibu
Karibu Yesu karibu, moyo wangu uponye


Video