https://www.youtube.com/watch?v=xfHVJd4ziRU
Uweponi mwako, uweponi mwako
Nataka niwe uweponi mwako
Chini ya miguu yako karibu nawe Yesu
Nataka mimi niwe uweponi mwako
Nifiche kwa mabawa yako karibu nawe Yahweh
Nataka niwe uweponi mwako, Bwana
Uweponi mwako, uweponi mwako
Nataka niwe uweponi mwako
Maserafi Makerubi wako mbele zako Bwana
Uweponi mwako Yesu ndipo twataka tuwe
Kanisa lako Yahweh siku ya leo tunasema
Uweponi mwako ndipo nataka niwe
Uweponi mwako, uweponi mwako
Nataka niwe uweponi mwako
Naja mbele zako ewe Bwana ili nikuabudu
Ili nikuinue, Nasonga mbele yako
Wewe uliye juu, nataka niwe karibu nawee
Uweponi mwako, uweponi mwako
Nataka niwe uweponi mwako
Write a review/comment/correct the lyrics of Uweponi Mwako:
But it is good for me to draw near unto God: I have made the Lord Jehovah my refuge, That I may tell of all thy works. Psalm 74 Maschil of Asaph.
And now, Father, glorify thou me with thine own self with the glory which I had with thee before the world was.