Sifa Lyrics

Ni wewe tu Bwana by Solomon Shemanzi cover art

Solomon Shemanzi - Ni wewe tu Bwana Lyrics

Artist:
Solomon Shemanzi

Lyrics

Ni wewe tu Bwana, Ni wewe tu
Ni wewe tu Bwana ni wewe tu


Wewe ni mwanzo na mwisho Baba
Alpha Omega hilo ni Jina lako
Ushindi wako Baba ni wa milele
Nakuinua ninasema ni wewe Baba


Ni wewe tu Bwana, Ni wewe tu
Ni wewe tu Bwana ni wewe tu


Jua na mwezi zote zakuabudu
Samaki baharini hata na ndege wakwinua
waanasema niwewe, ni wewe Baba


Ni wewe tu Bwana, Ni wewe tu
Ni wewe tu Bwana ni wewe tu


Hakuna mshindi kama wewe
Hakuna kama wewe
Hakuna Mungu kama wewe
Hakuna kama wewe


Hakuna mponyaji kama wewe
Hakuna kama wewe x3


Video