Africa yote itainuka, kutangaza wema wako
Dunia Yote itainuka, kulisifu Jina lako
Enzi ni yako na utukufu Bwana, Haha... iyelele
Tumeona wema wako, tumeona nguvu zako
Tumekuja mbele zako, twatukuza Jina lako.
Tukulipe nini Bwana kwa ukarimu wako uliotutendea
Twaimba sifa zako.
Umefanya mambo ya ajabu Umetenda mambo ya ajabu
Umefanya mambo ya ajabu Umetenda mambo ya ajabu
Tumeona wema wako, tumeona
nguvu zako
Tumekuja mbele zako, twatukuza jina lako.