Mungu Hawezi Kukuacha Lyrics - Paul Clement

Paul Clement Joel Lwaga swahili

Mungu Hawezi Kukuacha Lyrics

Maana unaona haya hausogei 
Uko palepale kila siku  
Uko vilevile 
Mungu aliyeanzisha 
Yeye ataitimiza 
Maana alikujua kabla hujajijua 
Kabla hujazaliwa 

Mungu hawezi kukuacha njiani 
Safari yako alianzisha mwenyewe 
Asingetaka angukuacha 
Unakokwenda Yeye anajua 

Mungu hawezi kukuacha njiani 
Safari yako alianzisha mwenyewe 
Asingetaka angukuacha mwanzoni
Unakokwenda Yeye anajua 

Mungu hawezi kukuacha njiani 
Safari yako alianzisha mwenyewe 
Asingetaka angukuacha mwanzoni
Unakokwenda Yeye anajua 

Anajua (anajua) 
Anajua (anajua) 
Ulikotoka unakokwenda 
Anajua (anajua) 
Udhaifu wako 
Anajua (anajua) 
Maisha yako 
Anajua (anajua) 

Unyonge wako 
Anajua (anajua) 
Machozi yako 
Anajua (anajua) 
...


Mungu Hawezi Kukuacha Video