Amenifanyia Amani

'Audio Mp3 Preview Courtesy of iTunes listen on Itunes Music View on amazon

Amenifanyia amani
Amenifanyia amani
Kaondoa huzuni yangu
Kanifanyia amani.

Nijapopita, kwenye bonde la mauti
Sitaogopa, maana wewe uko nami
Gongo lako na fimbo yako, eh Bwana vyanifariji
Wanifanyia amani umesema, ya kwamba hutaniacha
Sababu mimi, ni mboni ya jicho lako
Bwana wanitazama, asubuhi, mchana, jioni
Eeh Bwana, kweli Mungu wa baraka

Amenifanyia amani
Amenifanyia amani
Kaondoa huzuni yangu
Kanifanyia amani.

Amebadilisha uchungu wangu, umekua ni furaha yangu
Oh huyu Yesu amenipa furaha
Kanifanyia amani
Amebadilisha machozi yangu yamekuwa ni furaha yangu oooh!
Huyu Yesu amenipa furaha kanifanyia amani

Amenifanyia amani
Amenifanyia amani
Kaondoa huzuni yangu
Kanifanyia amani.

Furaha unipayo siyo kama ya dunia hii
Amani unipayo siyo kama ya ulimwengu huu
Wewe waniganga moyo nipatapo uchungu
Wanifanyia amani

Amenifanyia furaha
Amenifanyia furaha
Kaondoa huzuni yangu
Kanifanyia furaha.Share:
3 Comments

Maoni kuhusu wimbo: Amenifanyia Amani

Comments / Song Reviews

Neema Alex Mungu akubariki Paul coz ur work iz nspecial 4 him 5 days ago
Rafiki Gospel Singers Ubarikwe Paul for this song. 6 months ago
Nemes Yona Naomba nyimbo hiyo nmeshindwa sjaona download Iko vizuri nyimbo Mungu akubariki 11 months ago

Share your understanding & meaning of this song


Paul Clement

@paul-clement

Bio

View all songs, albums & biography of Paul Clement

View Profile

Bible Verses for Amenifanyia Amani

No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

Mp3 Songs & Download from iTunes

listen on Itunes Music

Sifa Lyrics

Social Links