Huu ni mwaka wako wakuinuliwa mama
Huu ni mwako wako wa kubarikiwa yelelele
Ni mwaka wako wa kuinuliwa yelele
Ni mwaka wako wakuinuliwa na kupaa juu .
Tunapaa juu juu sana
Tunasonga mbele eeh
Tunapaa juu juu sana
Tunasonga mbele eeh .
Hakuna kilio hakuna magonjwa
Tunasonga mbele na Yesu wee
Hakuna kilio hakuna magonjwa
Tunasonga mbele na Yesu wee
Mwaka huu ni viwango viwango
Tunasonga mbele na Yesu wee .
Tunapaa juu juu sana
Tunasonga mbele eeh
Tunapaa juu juu sana
Tunasonga mbele eeh .
Mbele tunasonga na Yesu (haturudi nyuma)
Mbele tunasonga na Baba (haturudi nyuma)
Mbele tunasonga na Omwami (haturudi nyuma)
Mbele tunasonga na Bwana (haturudi nyuma) .
Maombi yako yanajibiwa
Watoto wako watabarikiwa
Huduma Yako itainulia .
Skiza Tune
TEXT THE WORD SKIZA 7631422 TO 811 .
Write a review/comment/correct the lyrics of Mwaka Wako:
No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section