Henrick Mruma + Eliya Mwantondo - Umenipendelea Lyrics
Contents:
Vyote nilivyo navyo
Ulivyonipea umenipendelea
Uhai neema umenipendelea
Sijivuni kwa chochote
Nilichokipata umenipendelea
Afya hii pumzi hii
Umenipendelea