Ayaeeee Ayaeeeee
The king of glory is here
Ayaeeeeee Ayaeee Eee ayaeee
God is here
Utamwambia Nini ukimuona
Utamwambia Nini ukimuona
Tunaima Tunasujudu
Mungu ni mmoja
Ayaaaeee Ayaeeee
The king of glory is here
Ayaeee Ayaeeee Ayaeee
He is Here
Ayaaaeee Ayaeeee
The king of glory is here
Ayaeee Ayaeeee Ayaeee
The king is here
Ayaaaeee Ayaeeee
The king of glory is here
Ayaeee Ayaeeee Ayaeee
He is Here
Mungu Yupo mmoja tu
Ye Niko ambaye niko
Pokea sifa za mioyo yetu
Mungu ni mmoja tu
(repeat *2)
Ayaaaeee Ayaeeee
The king of glory is here
Ayaeee Ayaeeee Ayaeee
He is Here
Come on Everybody
(Instrumental)
Ashera Oh Dagoni oh
Baali miungu ya kigeni
Wameanguka wamevunjika
Mungu Yuko mmoja tu
Ashera Oh Dagoni oh
Baali miungu ya kigeni
Wameanguka wamevunjika
Mungu Yuko mmoja tu
Ashera Oh Dagoni oh
Baali miungu ya kigeni
Wameanguka wamevunjika
Mungu Yuko mmoja tu