Ameniona Yesu,Ameniona Yesu
Ameniona
Ameniona Yesu,ameniona Yesu
Ameniona
Ameniona Yesu,Ameniona Yesu
Ameniona
Ameniona Yesu,ameniona Yesu
ameniona
Ameniona ameniona ameniona
Kulia kwangu ewe
Kuombboleza kwangu ameniona ameniona
Ameniona ameniona ameniona
Kufunga kwangu
Kuombboleza kwangu ameniona ameniona
Ameniona ameniona ameniona
Ameniona ameniona ameniona
Ameniona ameniona ameniona
Ameniona ameniona ameniona
Nimelia asubuhi,mchana na Jioni
Sikujua kama Bwana ananisikia
Nikaomba nikafunga nikakatamalewa
Ameniona ameniona
Kuomba kwangu kulalamika kwangu
Ameniona ameniona
Umasikini wangu,utajiri wangu
Ameniona ameniona
Ameniona ameniona ameniona
Ameniona ameniona ameniona
Ameniona ameniona ameniona
Ameniona ameniona ameniona
Tunaimba sifa zake,tunasifu jina lake
Twatukuza nguvu zake ameniona ameniona
Tunaimba sifa zake,tunasifu jina lake
Twatukuza nguvu zake ameniona ameniona
Ameniona ameniona ameniona
Ameniona ameniona ameniona
Ameniona ameniona ameniona
Ameniona ameniona ameniona
Ameniona Yesu,Ameniona Yesu
Ameniona
Ameniona Yesu,ameniona Yesu
Ameniona
Ameniona Yesu,Ameniona Yesu
Ameniona
Ameniona Yesu,ameniona Yesu
ameniona