Ali Mukhwana - Jambo Gani Lyrics

Album: Watakusema
Released: 18 Oct 2020
iTunes Amazon Music

Lyrics

Kwani ni jambo gani linalo kushinda wewe Kwani ni shida ipi iliyokulemea Iwe njaa, iwe kazi, iwe nyumba Magonjwa, familia, karo ya shule

Ni wewe, ni wewe Ni wewe, ni wewe  Suluhisho letu, kumbuka watu wako baba

Ni wewe, ni wewe Ni wewe, ni wewe Mponyaji wetu

Yupo Mungu asikiye maombi yetu Yupo Mungu aonaye kwa siri Tunapojinyenyekeza  Anasikia maombi yetu

Iwe huduma imekataa Iwe ndoa imeshindikana Iwe huduma imekataa Iwe ndoa imeshindikana

Ni wewe, ni wewe Ni wewe, ni wewe  Suluhisho letu, kumbuka watu wako baba

Ni wewe, ni wewe Ni wewe, ni wewe Mponyaji wetu, ni wewe

Ni wewe, ni wewe Ni wewe, ni wewe  Suluhisho letu, kumbuka watu wako baba

Ni wewe, ni wewe Ni wewe, ni wewe Mponyaji wetu, ni wewe

Ni wewe, ni wewe Ni wewe Mungu, ni wewe Ni wewe, ni wewe Ni wewe Mungu, ni wewe

Video

Ali Mukhwana - Jambo Gani | Watakusema Album

Thumbnail for Jambo Gani video
Loading...
In Queue
View Lyrics