Sifa Lyrics

Ni kwa Neema by Ali Mukhwana cover art

Ali Mukhwana - Ni kwa Neema Lyrics

Artist:
Ali Mukhwana

Lyrics

Eeh ndugu yangu kuishi hapa duniani
Sio kwa nguvu zako


(Still Alive)


Ni kwa neema (Neema)
Ndiposa ninaishi, muumba mbingu na nchi
Ni kwa neema (Neema tu)
Si kwa nguvu zangu mi, ndiposa ninaishi


Ni kwa neema (Neema)
Ndiposa ninaishi, sio kwa nguvu zangu
Ni kwa neema yako(Neema tu)
Si kwa nguvu zangu mimi 


Ni wewe uliyenichagua
Tena ukaniokoa
Baba ukaniweka duniani


Sio kwamba nimetenda mema 
Au ninafaa sana 
Bwana nimekuweka moyoni


Natamani nikufahamu vyema
Natamani Rabbi
Nikujue nikufahamu nyema
Nikujue jinsi ulivyo


Ni kwa neema (Neema)
Ndiposa ninaishi, muumba mbingu na nchi
Ni kwa neema (Neema tu)
Si kwa nguvu zangu mimi


Ni kwa neema (Neema)
Ndiposa ninaishi, sio kwa nguvu zangu
Ni kwa neema yako(Neema tu)
Si kwa nguvu zangu mimi 


Yesu peleleza moyo wangu bwana
Kama kuna njia iletayo majuto
Peleleza moyo wangu bwana 
Bwana naomba nikupendeze


Peleleza moyo wangu bwana
Kama kuna njia iletayo majuto
Peleleza moyo wangu naomba 
Baba naomba nikupendeze


Maana umenichagua, mimi kukutumikia
Nami najiachilia moyoni mwangu


Natamani nikufahamu vyema
Natamani Rabbi
Nikujue nikufahamu nyema
Nikujue jinsi ulivyo


Ni kwa neema (Neema)
Ndiposa ninaishi, muumba mbingu na nchi
Ni kwa neema (Neema tu)
Si kwa nguvu zangu mimi


Ni kwa neema (Neema)
Ndiposa ninaishi, sio kwa nguvu zangu
Ni kwa neema yako (Neema tu)
Si kwa nguvu zangu mimi 


Natamani nikufahamu vyema
Natamani Rabbi
Nikujue nikufahamu nyema
Nikujue jinsi ulivyo


Ni kwa neema (Neema)
Ndiposa ninaishi, muumba mbingu na nchi
Ni kwa neema (Neema tu)
Si kwa nguvu zangu mimi


Ni kwa neema (Neema)
Ndiposa ninaishi, sio kwa nguvu zangu
Ni kwa neema yako (Neema tu)
Si kwa nguvu zangu mimi 


Video