Aliyeniokoa Lyrics - Essence of Worship

Essence of Worship swahili

Buy/Download Audio

Aliyeniokoa Lyrics

Aliyeniokoa, aliyeniokoa
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu
Aliyeniokoa, aliyeniokoa
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu

Ninamjua, aliye mwamba
Aliyeniokoa ni Bwana Yesu
Ninamjua, aliye mwamba
Aliyeniokoa ni Bwana Yesu
Aliyeniokoa, aliyeniokoa
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu

Amenikomboa, ameniweka huru
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu
Ameniponya, ameniweka huru
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu

Nina furaha, nina amani
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu
Nina furaha, nina amani
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu

Aliyeniokoa, aliyeniokoa
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu
Aliyenikomboa, aliyenikomboa
Aliyenikomboa, ni Bwana Yesu
Aliyeniokoa, aliyeniokoa
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu

Bridge:
Nimewekwa huru, Nimewekwa huru
Nimewekwa huru, na Yesu!
Nimekombolewa, nimekombolewa
Nimekombolewa, na Yesu!



Bridge:
Nimewekwa huru, Nimewekwa huru
Nimewekwa huru, na Yesu! (Repeat)
Nimekombolewa, nimekombolewa
Nimekombolewa, na Yesu! (Repeat)


Aliyeniokoa Video