Essence of Worship

Wewe ni Mungu Lyrics

Wewe ni Mungu Wewe ni Mungu 
Jina lako ni Bwana 
(Wewe ni Bwana wa Mabwana)
Unadumu na kutawala 
Unastahili Unastahili 
Bwana Bwana 

Wewe ni Mungu Wewe ni Mungu 
Bwana Bwana 
Unastahili Unastahili 
Bwana Bwana 

Uweza ni wako 
Mamalaka ni yako 
Bwana Bwana 

Uweza ni wako 
Mamalaka ni yako 
Bwana Bwana 

Unatawala milele 
Bwana Bwana 
Umejivika heshima 
Bwana Bwana 

Unatawala milele 
Bwana Bwana 
Umejivika heshima 
Bwana Bwana 


Wewe ni Mungu Video