Sifa Lyrics

Nangára by Christina Shusho cover art

Christina Shusho - Nangára Lyrics

Artist:
Christina Shusho

Lyrics

Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are 
Umenifanya ning’are, Yesu 


Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are 
Wewe umenifanya ning’are, Yesu 


Wewe waitwa nuru eti nuru ya watu 
Ukiingia kwangu, mi nang’ara 
Ndani ya hiyo nuru, eti kuna uzima 
Ukiingia kwangu, nina uzima 


Uso wake Yesu, aliye sura yake Mungu 
Umeingia kwangu, mi nang’ara 
Nuru ya injili, utukufu wake Kristo 
Umeingia kwangu, mi nang’ara 


Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are 
Umenifanya ning’are, Yesu 


Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are 
Wewe umenifanya ning’are, Yesu 


Iinuka uangaze we, nuru yako imekuja 
Utukufu wa Bwana, umekushukia we 
Mataifa watakujia, wafalme watakuja
Utukufu wa Bwana, umekushukia we 


Iinuka uangaze we, nuru yako imekuja 
Utukufu wa Bwana, umekushukia we 
Mataifa watakujia, wafalme watakuja
Utukufu wa Bwana, umekushukia we 


Mataifa watakujia, wafalme watakuja
Utukufu wa Bwana, umekushukia we 


Umenifanya ning’are (Yesu Yesu)
Umenifanya ning’are (Yesu Yesu)
Umenifanya ning’are, Yesu 


Umenifanya ning’are (Yesu Yesu)
Umenifanya ning’are (Yesu Yesu)
Wewe umenifanya ning’are, Yesu 


Umenifanya ning’are (Yesu Yesu)
Umenifanya ning’are (Yesu Yesu)
Umenifanya ning’are, Yesu 


Umenifanya ning’are (Yesu Yesu)
Umenifanya ning’are (Yesu Yesu)
Wewe umenifanya ning’are, Yesu 


Video