Sifa Lyrics

Haufananishwi by Ali Mukhwana cover art

Ali Mukhwana - Haufananishwi Lyrics

Artist:
Ali Mukhwana

Lyrics

Umeimarisha njia zangu wewe Baba
Umenifanya wa dhamana ewe mungu
Umeimarisha njia zangu wewe Baba
Umenifanya wa dhamana ewe mungu


Nikulinganishe na nani
Kumbe Baba haulinganishwi
Nikufananishe na nani
Kumbe Baba haufananishwi
Nikulinganishe na nani
Kumbe Baba haulinganishwi
Nikufananishe na nani
Kumbe Baba haufananishwi
Nikulinganishe na nani
Kumbe Baba haulinganishwi
Nikufananishe na nani
Kumbe Baba haufananishwi


Angalia roho yangu
Ni wewe Baba uliyeokoa
Sikukua hivi Baba
Nikiangalia miaka kumi
Iliyopita Baba mungu wangu
Ni nani angenipenda
Ni nani angenitamani
Baba ni wewe, uliyefanya haya
Yesu ni wewe, uliyetenda haya
Ni wewe, uliyenipa nyumba
Ni wewe, uliyenipa magari haya bwana


Nikulinganishe na nani
Kumbe Baba haulinganishwi
Nikufananishe na nani
Kumbe Baba haufananishwi
Nikulinganishe na nani
Kumbe Baba haulinganishwi
Nikufananishe na nani
Kumbe Baba haufananishwi


Angalia mazinoira ya boma yangu
Ni wewe Baba umefayanya ee
Angalia maisha yangu jinsi yaliyo
Ni wewe Baba umeniinua ee
Ni wengi walinicheka, wakasema sitaweza
Ni wengi waliniaibisha, wakasema sitaweza
Ni wengi walinicheka, wakasema ninaenda wapi
Alichukua shida zangu zote Baba
Alichukua laana zangu zote Baba
Alichukua dhambi zangu zote, akazitundika msalabani
Nikulinganishe na nani
Kumbe Baba haulinganishwi
Nikufananishe na nani
Kumbe Baba haufananishwi


Nikulinganishe na nani
Kumbe Baba haulinganishwi
Nikufananishe na nani
Kumbe Baba haufananishwi
Nikulinganishe na nani
Kumbe Baba haulinganishwi
Nikufananishe na nani
Kumbe Baba haufananishwi


Umenifanya wa dhamana bwana
Umenifanya wa msingi bwana
Umenifanya wa dhamana bwana
Umenifanya wa dhamana bwana


Nikulinganishe na nani
Kumbe Baba haulinganishwi
Nikufananishe na nani
Kumbe Baba haufananishwi
Nikulinganishe na nani
Kumbe Baba haulinganishwi
Nikufananishe na nani
Kumbe Baba haufananishwi
Nikulinganishe na nani
Kumbe Baba haulinganishwi
Nikufananishe na nani
Kumbe Baba haufananishwi


Hata nikiimba, wimbo hautoshi
Hata nikiomba Baba, maombi hayatoshi
Uliyoyatenda ni mengi
Hatua zangu ninazozipiga
Ni wewe taa ya miguu yangu bwana


Nikulinganishe na nani
Kumbe Baba haulinganishwi
Nikufananishe na nani
Kumbe Baba haufananishwi
Nikulinganishe na nani
Kumbe Baba haulinganishwi
Nikufananishe na nani
Kumbe Baba haufananishwi
Nikulinganishe na nani
Kumbe Baba haulinganishwi
Nikufananishe na nani
Kumbe Baba haufananishwi
Nikulinganishe na nani
Kumbe Baba haulinganishwi
Nikufananishe na nani
Kumbe Baba haufananishwi
Nikulinganishe na nani
Kumbe Baba haulinganishwi
Nikufananishe na nani
Kumbe Baba haufananishwi


Video