Ben Pol - Ebenezer Lyrics

Album: Ebenezer - Single
Released: 01 Jan 2020
iTunes Amazon Music

Lyrics

Mashuhuri kwa hakika Najongea kukupa sifa Wimbo wako wa Taifa Na ndo maana mimi sichoki kukuimba

Mimi ni nani hata nichoke?(Choke) Sana nataka si tuwe wote(Wote) Mimi ni nani hata nizubae?(Zubae) Ushindi lazima nikiwa nawe

Haa aah! Unanikosha unanivuta Haa aah! Unaniita umejificha Haa aah! Unanikosha unanivuta Haa aah! Nimeshafika

Ebenezer, Ebenezer Oooh Ebenezer, Ebenezer Eey Ebenezer, Ebenezer Oooh Ebenezer, Ebenezer Eey Ebenezer

Asubuhi vile jua likiwaka Natambua ni nafasi umenipa Sio nadeka Sitaki kabisa kuchomoka

(Aaah aaah..)

Wewe hukawii unayejibu kwa wakati Nakupenda ngii nikiwa nawe sishikiki Wewe hukawii unayejibu kwa wakati ooh Nakupenda ngii(Haa, hey)

Haa aah! Unanikosha unanivuta Haa aah! Unaniita umejificha Haa aah! Unanikosha unanivuta Haa aah! Nimeshafika

Ebenezer, Ebenezer Oooh Ebenezer, Ebenezer Eey Ebenezer, Ebenezer Oooh Ebenezer, Ebenezer Eey Ebenezer

(Yeah..)

Jabari hodari, wewe ngome imara Safari sikwami, dereva mambo sawa Jabari hodari, wewe ngome imara Safari sikwami, dereva mambo sawa

Jabari hodari, wewe ngome imara Safari sikwami, dereva mambo sawa Jabari hodari, wewe ngome imara Safari sikwami, dereva mambo sawa   Haa aah(Wewe ngome imara) Haa aah(Dereva mambo sawa) Haa aah(Wewe ngome imara) Haa aah(Dereva mambo sawa)

Ebenezer, Ebenezer Oooh Ebenezer, Ebenezer Eey Ebenezer, Ebenezer Oooh Ebenezer, Ebenezer Eey Ebenezer

Video

Ben Pol - EBENEZER (Official Live Session)

Thumbnail for Ebenezer video
Loading...
In Queue
View Lyrics