Ben Pol - Wapo Lyrics

Album: Wapo - Single
Released: 12 Jun 2019
iTunes Amazon Music

Lyrics

Usiku wa manane Jua kali likawaka Hali ambayo sikuizoea Hivyo ilinipa mashaka

Sikutaka tungombane  Yeye ndo alitaka Akawa ananililia Eti anataka talaka

Lile ua letu lote la upendo  Ndo likanyauka(aaah eeeh) Nilitaka kuwa chizi  Maa wee ningekuwehuka(wehuka)

Nikasema tulia tulia moyo Haya ya dunia yasikutishe wala Yaani tulia tulia moyo Haya ya dunia yasikunyime amani

Wengine wapo wapo wapo Mapenzi yapo yapo yapo tu Wengine wapo wapo wapo Mapenzi yapo yapo yapo tu

Nilikonda kwa mawazo Nilikosa raha, nilipata wasi wasi Ila nilijipa moyo  Natupa jiwe, nitapata almasi

Saa nyingine nilifumba hata macho Ningemuona yeye(ningemuona yeye) Ilinipa taabu kusahau Moyoni ilikuwa (aah)

Nasema tulia tulia moyo Haya ya dunia yasikutishe wala Yaani tulia tulia moyo Haya ya dunia yasikunyime amani

Wengine wapo wapo wapo Mapenzi yapo yapo yapo tu Wengine wapo wapo wapo Mapenzi yapo yapo yapo tu

Nasema tulia tulia moyo Haya ya dunia yasikutishe wala Yaani tulia tulia moyo Haya ya dunia yasikunyime amani

Wengine wapo wapo wapo Mapenzi yapo yapo yapo tu Wengine wapo wapo wapo Mapenzi yapo yapo yapo tu

Video

Ben Pol - WAPO (Official Music Video)

Thumbnail for Wapo video
Loading...
In Queue
View Lyrics