Ben Pol - Wewe Lyrics

Album: Wewe - Single
Released: 15 Jan 2023
iTunes Amazon Music

Lyrics

Kama anaona ni sawa Anachofanya ni sawa Siwezi kum force, siwezi kumi azimisha Si ananiona mi boya Anachofanya kunikomoa Anajua nampenda ndo maana anipeleka puta Moyoni wangu, natamani nikutoe Natamani nisikupende tena wewe wewe Maumivu yangu huyajali hata kodogo Hivi una roho gani mbaya sana wewe wewe

Mi nataka kuwa na we Kuwa na wewe tu Ulonifanya kuwa na we Kuwa na wewe tu Mi nataka kuwa na we, wewe tu Ulonifanya kuwa na we

Hivi alitaka nini kwangu nikashindwa kumpatia Mbona mapenzi nilimpa na hata pesa nilimpa Kumbe hana jema, hana jema Na inavyoonekana hata ningempa nini angenitema Ulivyo mzuri mtu hawezi kudhani kama una roho mbaya wewe Sura yako na metendo yako havifanani nawe

Video

Ben Pol - Wewe (Official Video)

Thumbnail for Wewe video
Loading...
In Queue
View Lyrics