Ni Wewe Yesu

Ni Wewe Yesu Lyrics

Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 
Utukufu na heshima 
Vina wewe Yesu 
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa  .

Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 
Utukufu na heshima 
Vina wewe Yesu 
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa  .

"Ufalme wako ni ufalme usiotikisika 
Hauna mwisho Bwana wala hauna mwanzo 
Utukufu na nguvu na enzi ni vyako Yesu" .

Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa 
Utukufu na heshima 
Vina wewe Yesu 
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa  .

Ni wewe Yesu wa kuinuliwa
Ni wewe Yesu wa kuinuliwa
Utukufu na heshima 
Vina wewe Yesu 
Ni wewe Yesu wa kuinuliwa  .


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Ni Wewe Yesu:

0 Comments/Reviews