Sifa Lyrics

Bila Bila by Joel Lwaga cover art

Joel Lwaga - Bila Bila Lyrics

Artist:
Joel Lwaga
Album:
Bila Bila - Single
Official Release:
07 Mar 2025

Lyrics

Here are the lyrics for the song "Bila Bila" by Joel Lwaga :


[Verse 1]
Nikitazama nilikotoka, hapa nilipo ninapokwenda
Ninagundua
Ngekuwa ni nguvu zangu
Ningeshachoka nisingeweza


Sio kweli kwamba tu ku-hustle na kupambana ndio vimenitoa
Juhudi haizidi kudra
Siwezi sema babu hakujituma


[Pre-Chorus]
Niliitwa ndugu lawama
Mfano wa waliokwama
Mtu asiye na maana
Wa kuchekwa kudharauliwa
Ila Mungu ana maguvu Bwana, leo nikipita wanaitana
Sa ngoja nami niwaite, niwape siri ukweli ni kwamba


[Chorus]
Bila Mungu mimi (Bila, bila, bila)
Hamna kitu yani zero bila
Bila Mungu mimi (Bila, bila, bila)
Sina ujanja yani zero bila


Bila Mungu mimi (Bila, bila, bila)
Hamna kitu yani zero bila
Bila Mungu mimi (Bila, bila, bila)
Sina ujanja yani zero bila


[Verse 2]
Yani kama meli isiyo na nahodha
Kama bunge lisilo na hoja
Mi ni debe tupu bila ya Mola
Msidanganyike nje mnavyoniona
Sina mzizi, wala mlozi
Nina mtetezi tena yu hai
Ye ndo siri ya mi kunawiri
Bila ye mi chali na sifurukuti


[Pre-Chorus]
Niliitwa ndugu lawama
Mfano wa waliokwama
Mtu asiye na maana
Wa kuchekwa kudharauliwa
Ila Mungu ana maguvu Bwana, leo nikipita wanaitana
Sa ngoja nami niwaite, niwape siri ukweli ni kwamba


[Chorus]
Bila Mungu mimi (Bila, bila, bila)
Hamna kitu yani zero bila
Bila Mungu mimi (Bila, bila, bila)
Sina ujanja yani zero bila


Bila Mungu mimi (Bila, bila, bila)
Hamna kitu yani zero bila
Bila Mungu mimi (Bila, bila, bila)
Sina ujanja yani zero bila


Bila Mungu mimi (Bila, bila, bila)
Hamna kitu yani zero bila
Bila Mungu mimi (Bila, bila, bila)
Sina ujanja yani zero bila


Bila Mungu mimi (Bila, bila, bila)
Hamna kitu yani zero bila
Bila Mungu mimi (Bila, bila, bila)
Sina ujanja yani zero bila


Video