Rafiki Mwema Lyrics - Groupe Chandelier de Gloire
Groupe Chandelier de Gloire swahili
Buy/Download AudioRafiki Mwema Lyrics
Kuna yule aliyenipenda
Si kwa ajili ya mali
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu
Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine
Huyu halali wala hasizinzii
Hata leo hajawai kunichoka eeeh
Kuna yule aliyenipenda
Si kwa ajili ya mali
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu
Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine
Huyu halali wala hasizinzii
Hata leo hajawai kunichoka
Sikutafuta ni yeye alikuja kwangu
Ningawazaje makosa yangu
Yesu alinipenda wa kwanza
Nikamwamini yeye kanisamehe dhambi
Upendo wake Yesu yeye wanishangaza
Yesu huyu Yesu rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda
Yesu huyu Yesu rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda
Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema
Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema
Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema
Yesu huyu Yesu rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda
Yesu huyu Yesu rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda