Neema Gospel Choir - Malango Lyrics

Lyrics

[Verse 1]
Maombi ya toba, katika malango
Ni muhimu, kwa wanadamu
Ni kufungua, upya mahusiano
Kati ya Mungu, na wanadamu
Maombi ya toba, katika malango
Ni muhimu, kwa wanadamu
Ni kufungua, upya mahusiano
Kati ya Mungu, na wanadamu
[Chorus]
Inueni, vichwa vyenu
Enyi malango, inueni
Inueni, enyi malango
Ya milele, inueni
Mfalme wa utukufu, apate kuingia kwenu
Mfalme wa utukufu, apate kuingia kwenu
Inueni, vichwa vyenu
Enyi malango, inueni
Inueni, enyi malango
Ya milele, inueni
Mfalme wa utukufu, apate kuingia kwenu
Mfalme wa utukufu, apate kuingia kwenu
[Verse 2]
Ni nani huyo, mfalme wa utukufu?
Mungu mwenye nguvu, hodari wa vita
Ni nani huyo, mfalme wa utukufu?
Bwana wa majeshi, mfalme wa utukufu
Ni nani huyo, mfalme wa utukufu?
Mungu mwenye nguvu, hodari wa vita
Ni nani huyo, mfalme wa utukufu?
Bwana wa majeshi, mfalme wa utukufu
[Verse 3]
Ewe Mkristo, na maombi haya
Huleta mabadiliko, ya kiroho
Usiruhusu, malango yako
Yakainuliwa, na adui
Ewe Mkristo, na maombi haya
Huleta mabadiliko, ya kiroho
Usiruhusu, malango yako
Yakainuliwa, na adui
[Bridge]
Malango ya kila hatua
Yakimilikiwa na adui
Uwepo wa Mungu, unatoweka
Malango ya kila hatua
Yakimilikiwa na adui
Uwepo wa Mungu, unatoweka
[Verse 4]
Mungu atuelewesha
Ya kwamba ni muhimu
Kutawala malango
Katika maisha yetu
Kwa jinsi hiyo
Hatuna budi kuwa
Wasimamizi katika
Maisha ya kiroho
Mungu atuelewesha
Ya kwamba ni muhimu
Kutawala malango
Katika maisha yetu
Kwa jinsi hiyo
Hatuna budi kuwa
Wasimamizi katika
Maisha ya kiroho
[Verse 3]
Ewe Mkristo, na maombi haya
Huleta mabadiliko, ya kiroho
Usiruhusu, malango yako
Yakainuliwa, na adui
Ewe Mkristo, na maombi haya
Huleta mabadiliko, ya kiroho
Usiruhusu, malango yako
Yakainuliwa, na adui
[Outro Bridge]
Malango ya kila hatua
Yakimilikiwa na adui
Uwepo wa Mungu, unatoweka
Malango ya kila hatua
Yakimilikiwa na adui
Uwepo wa Mungu, unatoweka
Malango ya kila hatua
Yakimilikiwa na adui
Uwepo wa Mungu, unatoweka
Malango ya kila hatua
Yakimilikiwa na adui
Uwepo wa Mungu, unatoweka

Video

Neema Gospel Choir - Malango (Live)// WORSHIP IN SPIRIT

Thumbnail for Malango video
Loading...
In Queue
View Lyrics