Bora Niwe Bawabu Lyrics - Boaz Danken

Boaz Danken swahili

Buy/Download Audio

Bora Niwe Bawabu Lyrics

Uwepo wako ni mzuri Bwana  Sitamani kuondoka Bwana  Uwepo wako ni mzuri Bwana  Sitamani kuondoka Bwana 
Wewe Mungu ni mzuri sana  Sitamani kuondoka Bwana 

Bora niwe Bawabu 
Ndani ya nyumba yako 
Kuliko kuondoka uweponi mwako 

Nje kuna wanyang'anyi Bwana 
Kwako kuna amani Bwana 
Nje kuna wanyang'anyi
Bwana  Kwako kuna amani Bwana 
Nimeliona jibu langu kwako 
Sitamani kuondoka Bwana 
Wewe Mungu unatosha sana 
Wewe ndiwe kila kitu 

Bora niwe Bawabu 
Ndani ya nyumba yako 
Kuliko kuondoka uweponi mwako 

Translation Chorus:
I rather be a gatekeeper
At that presence Than to depart from thy presence


Bora Niwe Bawabu Video